Ulinzi wa Mtoto

[featured_image]
Download
Download is available until [expire_date]
  • Version
  • Download 1
  • File Size 823.47 KB
  • File Count 1
  • Create Date July 5, 2021
  • Last Updated July 5, 2021

Ulinzi wa Mtoto

Ulinzi na Usalama wa Mtoto[1]

Suala Mtambuka katika Utume wa Kanisa

Mungu akasema, “Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.” Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabariki, Mungu akawaambia, “Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.”

Mwanzo 1:26-28

[1] Imetayarishwa na Pd. Leonard Maliva, Jimbo la Iringa; Februari 2020.