Kikao na Kamati ya Ulinzi wa Mtoto pamoja na Askofu wa Jimbo
Katika mwaka huu, Idara ya Ulinzi wa Mtoto ilifanikiwa kufanya kikao maalum na Kamati ya Ulinzi wa Mtoto pamoja na Mhashamu Askofu wa Jimbo la Iringa. Kikao hiki kilikuwa na lengo la: Kikao hicho kilisisitiza umuhimu wa kila mzazi, mlezi, na kiongozi wa Kanisa kuwa mstari wa mbele katika kulinda watoto dhidi ya ukatili, unyanyasaji,…